Posts

Ushonaji wa suruali Hatua Nunua kitambaa mita moja Kata vipande viwili vya miguu Kata spatula Kata mifuko alafu Anza kushona unganisha kipande Cha nyuma, Shona upande wa mbele kwenye kiuno alafu unganisha vipande vya miguu baada ya Apo Shona zipu. Alafu Shona hukc, baada ya Apo pasi tayari kwa kuvaa
Ushonaji wa shati Nunua kitambaa mita moja na nusu Kata mikono mifupi. Kata vipande viwili vya mbele Kata kipande kimoja Cha nyuma Kata kipande Cha mgongo(kaba) Kata stifu Kata kola Chukua mashine sindano na uzi baada ya Apo chukua kipande Cha mbele na nyuma alafu Anza Kuunganisha alafu unganisha kola alafu unganisha mikono baada ya hapo shona upande wa chini alafu weka vifungo. Baada ya hapo piga pasi tayari kwa kuvaa.
KUTARIZI Ni kitendo Cha kushona pambo au ua kwenye vitambaa nk VIFAA VYA KUTUMIA Kitambaa robo mita, sindano ya mikono, uzi, wa Kutarizi kastabani, penseli kwa ajili ya kuchorea, HATUA Chagua ua unalotaka Chukua penseli chora ua lako kwenye kitambaa Chukua sindano na uzi na weka kipande Cha uzi chenye urefu wa sentimita kumi na tano alafu kata kwa kutumia mkasi Chukua kastabani na vaa kwenye kidole Cha kati Chukua sindano ambayo tayari umeshaweka uzi Kisha Anza kushona, baada ya kumaliza kushona kata uzi na ondoa sindano Chukua binding alafu Shona kwa kutumia sindano baada ya hapo ondoa sindano na kastabani na uviweke pembeni. Geuza kitambaa Kisha kata nyuzi zinazoning'inia. Chukua pasi alafu upasi kitambaa baada ya hapo kikunje vizuri tayari kwa matumizi.
UFUGAJI WA KANGA( NDEGE ) Wawekee kwenye Banda wape Chakula Kama vile pumba za mahindi changanya na dagaa,mashudu,chokaa wape pia majani,wape maji .baada ya wiki sita wataga mayai.utapata mayai kwaajili ya kula .Na pia nyama. Asante .tutaendea kujulishana kuhusu UFUGAJI fuatilia............
                    USHONAJI: Maandalizi ya ushonaji wa nguo .Kwanza kabisa unahitaji uwe na mashine ya kushona,sindano,nyuzi,vifungo vya Aina zote kuendana Aina ya nguo unayo Shona kwa wakati huo. Pia unahitaji mkasi  kwaajili ya kukata nguo, vitambaa .unahitaji uwe stifu,custaban mafuta ya kulainisha mashine,sindano za akiba .Pia zifuatazo ni hatua za kuandaa nguo kabla ya kushona,Tumia meza yenye urefu wa sentimeta150 upana 150 uwe pia rula kubwa Aina yapembe tatu mraba .Utaratibu wa ukataji  wa nguo  andaa nguo yaani kitambaa ,kunja kimbaa  halafu kata sketi ,kata kifua ukizingatia upana na urefu kifua kipande Cha nyuma kata mikono  kata kola kwajili ya shingo mwisho kata mshipi. USHONAJINA: unganisha mikono  na sketi ya chini ,unganisha kola na nguo  pinda pindo la chini. Baada ya kumaliza chukua mkasi kata nyuzi zinazo ninginia,kwenye nguo nyosha kwa kutumia pasi yenye moto wa wastan kuendana...