USHONAJI:
Maandalizi ya ushonaji wa nguo .Kwanza kabisa unahitaji uwe na mashine ya kushona,sindano,nyuzi,vifungo vya Aina zote kuendana Aina ya nguo unayo Shona kwa wakati huo. Pia unahitaji mkasi kwaajili ya kukata nguo, vitambaa .unahitaji uwe stifu,custaban mafuta ya kulainisha mashine,sindano za akiba .Pia zifuatazo ni hatua za kuandaa nguo kabla ya kushona,Tumia meza yenye urefu wa sentimeta150 upana 150 uwe pia rula kubwa Aina yapembe tatu mraba .Utaratibu wa ukataji wa nguo andaa nguo yaani kitambaa ,kunja kimbaa halafu kata sketi ,kata kifua ukizingatia upana na urefu kifua kipande Cha nyuma kata mikono kata kola kwajili ya shingo mwisho kata mshipi.
USHONAJINA: unganisha mikono na sketi ya chini ,unganisha kola na nguo pinda pindo la chini. Baada ya kumaliza chukua mkasi kata nyuzi zinazo ninginia,kwenye nguo nyosha kwa kutumia pasi yenye moto wa wastan kuendana na aina kimbaa ulichoshona
Noosha hakikisha inkuwa safi tay kwa kuvaa.hakikisha mwonekano wa nguo yako ni Safi. Asante kwa kupendakupenda kusikiliza.
Comments
Post a Comment