KUTARIZI
Ni kitendo Cha kushona pambo au ua kwenye vitambaa nk
VIFAA VYA KUTUMIA
Kitambaa robo mita, sindano ya mikono, uzi, wa Kutarizi kastabani, penseli kwa ajili ya kuchorea,
HATUA
Chagua ua unalotaka
Chukua penseli chora ua lako kwenye kitambaa
Chukua sindano na uzi na weka kipande Cha uzi chenye urefu wa sentimita kumi na tano alafu kata kwa kutumia mkasi
Chukua kastabani na vaa kwenye kidole Cha kati
Chukua sindano ambayo tayari umeshaweka uzi Kisha Anza kushona, baada ya kumaliza kushona kata uzi na ondoa sindano
Chukua binding alafu Shona kwa kutumia sindano baada ya hapo ondoa sindano na kastabani na uviweke pembeni.
Geuza kitambaa Kisha kata nyuzi zinazoning'inia.
Chukua pasi alafu upasi kitambaa baada ya hapo kikunje vizuri tayari kwa matumizi.

Comments
Post a Comment