Ushonaji wa suruali
Hatua
Nunua kitambaa mita moja
Kata vipande viwili vya miguu
Kata spatula
Kata mifuko alafu Anza kushona unganisha kipande Cha nyuma, Shona upande wa mbele kwenye kiuno alafu unganisha vipande vya miguu baada ya Apo Shona zipu. Alafu Shona hukc, baada ya Apo pasi tayari kwa kuvaa

Comments

Post a Comment

Popular posts from this blog