UFUGAJI WA KANGA( NDEGE )
Wawekee kwenye Banda wape Chakula Kama vile pumba za mahindi changanya na dagaa,mashudu,chokaa wape pia majani,wape maji .baada ya wiki sita wataga mayai.utapata mayai kwaajili ya kula .Na pia nyama. Asante .tutaendea kujulishana kuhusu UFUGAJI fuatilia............
Comments
Post a Comment