Ushonaji wa shati
Nunua kitambaa mita moja na nusu
Kata mikono mifupi.
Kata vipande viwili vya mbele
Kata kipande kimoja Cha nyuma
Kata kipande Cha mgongo(kaba)
Kata stifu
Kata kola
Chukua mashine sindano na uzi baada ya Apo chukua kipande Cha mbele na nyuma alafu Anza Kuunganisha alafu unganisha kola alafu unganisha mikono baada ya hapo shona upande wa chini alafu weka vifungo. Baada ya hapo piga pasi tayari kwa kuvaa.

Comments

Popular posts from this blog